Mgogoro wa kisiasa Iraq
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ilitoa tamko kuhusiana na matukio ya hivi majuzi nchini Iraq na kusisitiza kuwa: "Tehran daima inataka Iraq yenye utulivu, salama na yenye nguvu."
Habari ID: 3475708 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq ameitaka Marekani iviondoe mara moja vikosi vyake vyote katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3472848 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/09